TULIA AKEMEA UNYANYASAJI DHIDI YA WANAWAKE

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, amekemea unyanyasaji dhidi ya wanawake, akisisitiza kuwa vitendo hivyo katika uongozi na siasa vinakiuka haki za binadamu na misingi ya demokrasia. Akizungumza katika Mkutano wa Wabunge Wanawake wa IPU jijini Arusha, Dkt. Tulia amesema...