BODI YA LIGI YATHIBITISHA DABI YA KARIAKOO UWANJA WA UHURU
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara kupitia Mtendaji Mkuu wake, Cornel Barnabas, imeweka wazi kuwa mchezo wa Derby ya Kariakoo kati ya Simba SC na Yanga SC utachezwa siku ya Jumamosi katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.