BODI YA LIGI YATHIBITISHA DABI YA KARIAKOO UWANJA WA UHURU

BODI YA LIGI YATHIBITISHA DABI YA KARIAKOO UWANJA WA UHURU

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara kupitia Mtendaji Mkuu wake, Cornel Barnabas, imeweka wazi kuwa mchezo wa Derby ya Kariakoo kati ya Simba SC na Yanga SC utachezwa siku ya Jumamosi katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

KITAIFA 01

Advertisement EATV

Akizungumza na waandishi wa habari, Cornel amesema maandalizi kuelekea mchezo huo yanaendelea vizuri na kwamba kila kitu kiko tayari kwa mchezo huo ambao unatarajiwa kuanza saa moja kamili jioni.

INSERT: CORNEL BARNABAS – Mtendaji Mkuu wa bodi ya Ligi Kuu

Katika hatua nyingine, Bodi ya Ligi imesema imeanza kuchukua hatua kukabiliana na malalamiko ya baadhi ya klabu kushindwa kutumia vyumba vya kubadilishia nguo katika baadhi ya viwanja. Cornel amesema vifaa maalum vya kupima kiwango cha oksijeni katika vyumba hivyo vimewasili, hatua inayolenga kuhakikisha mazingira yanakuwa salama kwa wachezaji.

INSERT: CORNEL BARNABAS – Mtendaji Mkuu wa bodi ya Ligi Kuu

Mchezo huo kati ya Simba SC na Yanga SC utachezwa Jumamosi, Oktoba 10, katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, kuanzia saa moja kamili jioni.

KARIAKOO DABI KUPIGWA UHURU

Bodi ya Ligi yathibitisha maandalizi kuendelea

Simba na Yanga kukutana Jumamosi Dar

Maboresho ya Vyumba vya kubadilishia nguo

Vifaa vya kupima oksijeni vyawasili Uwanjani

BODI YA LIGI YATHIBITISHA DABI YA KARIAKOO UWANJA WA UHURU

MAJINA

CORNEL BARNABAS – Mtendaji Mkuu wa bodi ya Ligi Kuu

CORNEL BARNABAS – Mtendaji Mkuu wa bodi ya Ligi Kuu

You can share this post!

WAZAZI NCHINI TANZANIA WAMETAKIWA KUWARUHUSU WATOTO WAO KUSHIRIKI MCHEZO WA CRICKET