UCHUMI/TOHARA VYATAJWA MAAMBUKIZI MAPYA HIV/AIDS
Ripoti kuhusu maambukizi mapya ya HIV/AIDS imeonesha kuwa kati ya watu 60 wanaopata maambukizi mapya, 34 ni vijana, huku kukosa nguvu na uelewa wa uchumi miongoni mwa wasichana na wanaume kutotahiriwa kwa hiari, vikitajwa kuchangia hali hiyo.