MKATABA MPYA ARTETA HADI 2030
KOCHA WA ARSENAL, MIKEL ARTETA, AMEONGEZA MKATABA MPYA HADI MWAKA 2030
KOCHA WA ARSENAL, MIKEL ARTETA, AMEONGEZA MKATABA MPYA HADI MWAKA 2030
SINGIDA BLACK STARS IMEKAMILISHA KAMBI YAKE YA WIKI MBILI JIJINI ARUSHA
LIONEL MESSI ANATARAJIWA KUCHEZA MCHEZO WAKE WA MWISHO AKIWA NA TIMU YA TAIFA YA ARGENTINA
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara kupitia Mtendaji Mkuu wake, Cornel Barnabas, imeweka wazi kuwa mchezo wa Derby ya Kariakoo kati ya Simba SC na Yanga SC utachezwa siku ya Jumamosi katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.