KITAIFA 01
Wazazi nchini Tanzania wametakiwa kuwaruhusu watoto wao kushiriki mchezo wa Cricket, kwa kuwa ni miongoni mwa michezo inayoweza kuwapatia fursa za ajira na kipato, huku wakiendelea na masomo yao.
Paulo Gadau
Wazazi nchini Tanzania wametakiwa kuwaruhusu watoto wao kushiriki mchezo wa Cricket kwa sana kwasababu ni mchezo wenye fursa.
KITAIFA 01
Wazazi nchini Tanzania wametakiwa kuwaruhusu watoto wao kushiriki mchezo wa Cricket, kwa kuwa ni miongoni mwa michezo inayoweza kuwapatia fursa za ajira na kipato, huku wakiendelea na masomo yao.
Akizungumza na EATV, Mtendaji Mkuu wa Chama cha Cricket Tanzania, Hamisi Hassan, amesema mchezo huo unaweza kumpa mtoto fursa ya kujiajiri au kuajiriwa, sambamba na kuendelea na elimu yake.
INSERT: HAMISI HASSAN-Mtendaji Mkuu TCA
Aidha, Hamisi ameishukuru Serikali ya Tanzania kwa kuendelea kuunga mkono juhudi za Chama cha Cricket Tanzania, ikiwemo ujenzi wa viwanja vya kisasa vyenye hadhi ya kimataifa kwa ajili ya kukuza na kuendeleza mchezo huo nchini.
INSERT: HAMISI HASSAN-Mtendaji Mkuu TCA
Mchezo wa Cricket umeendelea kupata nafasi nchini Tanzania, ambapo kwa sasa umeanza kushirikishwa katika mashindano ya UMISETA yanayowakutanisha wanafunzi wa shule za sekondari kutoka maeneo mbalimbali nchini.
WAZAZI KUWARUHUSU WATOTO KUCHEZA CRICKET
Cricket watajwa kuwa na fursa za ajira
Mchezo wa Cricket waunganisha elimu na ajira
Serikali yaendelea kuunga mkono Cricket Tanzania
Cricket sasa washirikishwa kwenye mashindano ya UMISETA
WAZAZI NCHINI TANZANIA WAMETAKIWA KUWARUHUSU WATOTO WAO KUSHIRIKI MCHEZO WA CRICKET
MAJINA
HAMISI HASSAN-Mtendaji Mkuu TCA
HAMISI HASSAN-Mtendaji Mkuu TCA