JAMII YAASWA KUTOWAFICHA NDANI WATOTO WALEMAVU KWAKUWA WANAHAKI SAWA NA WATOTO WENGINE.

JAMII YAASWA KUTOWAFICHA NDANI WATOTO WALEMAVU KWAKUWA WANAHAKI SAWA NA WATOTO WENGINE.

Wananchi katika Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi wameaswa kutowaficha watoto wenye ulemavu kwani wanahaki ya kupata mahitaji ya msingi kama watoto wengine.

Rai hiyo imetolewa na wazazi na walezi wenye watoto wenye ulemavu wakati wa hafla ya kupatiwa vitimwendo na shirika la umeme Tanzania Tanesco katika wiki hii ya Huduma kwa wateja.

NSERT 1…LIDIA SEBASTIAN MZAZI

INSERT…2 JONH THADEO MZAZI

Advertisement EATV

Kaimu Meneja Tanesco Mkoa wa Katavi amesema katika maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja wametoa viti mwendo saba kwa watoto wenye uhitaji.

INSERT 3….MHANDISI GELARD CHIMOTO KAIMU MENEJA TANESCO KATAVI.

Mamlaka ya serikali Wilaya ya Mpanda imetoa wito kwa jamii kuendelea kuwalea watoto wenye ulemavu bila ubaguzi wa aina yeyote.

INSERT….4 JAMILA YUSUPH MKUU WA WILAYA YA MPANDA.

MWISHO


You can share this post!